
Frequently Asked Questions
Search and find answers to questions you may have about our hospital. This may help you reach to you possible needs eariler.
Tupo Masaa 24 kila siku.
Bima tuliokua nazo ni :
NHIF
ASSEMBLE
JUBILEE
BRITAM
Ndio, tunatoa huduma za kulaza wagonjwa masaa 24 kila siku. Karibu upate huduma bora na za uhakika.
Ndio tunahuduma za madakatri bigwa wa magonjwa ya :
Magonjwa ya Ndani
Watoto
Akina Mama
Mifupa
Mfumo wa Chakula
Meno
Pua, Mdomo na Macho
Unaweza ukabonyeza hapo chini kufanya booking mtandaoni za uweze kumuona madaktari husika na shida yako:
Ndio, tunatoa huduma za Kliniki ya Akina Mama na Watoto. Huduma zetu ni pamoja na utoaji wa chanjo (Jumatatu na Alhamis), huduma za kujifungua kawaida na kwa upasuaji, na kumuona daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama. Karibu upate huduma bora na za uhakika.
Ndio, tunatoa huduma za kujifungua kawaida na kwa upasuaji. Huduma ya kujifungua kwa kawaida inapatikana kwa bima zote tunazopokea. Huduma ya upasuaji pia inapatikana kwa bima zote tunazopokea, lakini kwa NHIF kuna gharama za ziada za TSH 300,000. Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nasi.
Our new Dialysis Center is expected to start operating in mid to late 2024. We are committed to providing safe, modern, and compassionate dialysis care for patients with kidney conditions. Stay tuned for updates!
You can book a consultation with one of our specialists online through our website. Visit the 'Book Your Appointment' section, select the specialist you need, and choose a convenient time for your appointment. It's quick and easy!
We offer comprehensive dental care services, including routine check-ups, cleanings, fillings, extractions, and more. Our dental team is dedicated to ensuring your oral health and providing personalized treatment plans.
We provide 24/7 emergency care for a wide range of medical conditions, including trauma, acute illnesses, and other urgent health issues. Our emergency department is equipped with modern facilities and staffed by experienced professionals to ensure you receive prompt and effective care.
Our eye care services include comprehensive vision exams, treatment for eye diseases, and personalized care for various vision issues. We are committed to helping you achieve and maintain healthy eyes and clear vision.

